Mwimbaji wa kike Nadia Mukami amewashangaza mashabiki wake baada ya kushiriki picha ambazo hazijawahi kuonekana mitandaoni.
Nadia alishiriki picha hizo mtandaoni akiwa mwendeshaji wa Mkokoteni akisafirisha maji miaka ya nyuma.
Msanii wa Si Rahisi hana aibu kamwe na maisha yake ya nyuma na kazi yake imeonekana kwenye aliko sasa kama mwanadada shupavu kwenye ulingo wa usanii.
βNilikuwa naskuma Maji na wheelbarrow Mwihoko ,β alisema.
Β
View this post on InstagramΒ
Haya ni baadhi ya maoni ya wafuasi wake;
polli_cateΒ Wapi make up nadia




totolekenyaΒ 

Β kwani ulikuaga mboc
dimanmkareclassics HIO STYLE UMEJISHIKA NDIO INAITWA BIRIKA
djshiti_trhk ππππππ π π π π π π π π π π πππππππππ π π enyewe sio rahisi
theonlybrianrobert Hebu cheza Radio Love!!
Β
Leave a Reply