Jana usiku, Rihanna alijitokez akiw mrembo kupidukia na kuwaburudisha wafuasi wake kwenye hafla ya tano ya kila mwaka ya Diamond Ball.
Wakati wa hafla hiyo, uvumi ulianza kujitokeza ya kwamba Rihanna alikuwa mjamzito.
Huu uvumi ulianza pindi alipohojiwa na Essence ambapo alidokeza kuwa ataenda kuzaa mtoto wa rangi (mweusi).
โNatoka kwa mwanamke mweusi, ambaye alitoka kwa mwanamke mweusi, na nitazaa mwanamke mweusi.โ
PERIOD RIH!!! pic.twitter.com/T79UDQsykV
โ ๐ ๐ฝ (@pinkfridayvibes) September 13, 2019
Uvumi uliendelea kuwaka moto wakati alifika jukwaani kwani tumbo yake lilikuwa limejaa kama mtu ameshiba na kuonekana kwamba ana mimba. Alikuwa amevaa mavazi meusi na ya kupendeza.
https://twitter.com/JunaeBrown/status/1172383076883677185?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1172383076883677185&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.hot97.com%2Fnews%2Fhot-97-now%2Foh-my-social-media-thinks-rihanna-pregnant
Leave a Reply